Katika makundi yanayofanya vizuri hapa Afrika MAshariki kama kundi la WASOJALIBAND sio namba moja basi ni namba mbili. Hii ni baada ya THEGREATMULLEYMEDIA kupokea ripoti kutoka BURUNDI kwa mmoja wa mashabiki tukimnukuu aliweza kuingia katika ukurasa wetu wa Facebook nakutuuliza "Mambo vipi kaka kuna kundi limeshika sana uku kwetu BURUNDI na nyimbo yao inajulikana kama NITALIA NAWE je wanatokea nchini Kenya ama Tanzania?" Alisema hayo shabiki huyo akiongeza na kuwa kwamba katika nchi ya RWANDI pia nyimbo hio pamoja na video imepenya sana,tuliweza kumjibu kwamba vijana hao sio wa Tz ni Wakenya tena kutoka Mombasa. Hili ni onyesho wazi kwamba vijana hawa wanaeza kwenda katika nchi izo mbili na kupiga show maana tayari wamejenga familia ya mashabiki katika nchi izo mbili. Kumbuka ni takriban wiki mbili zimepita tangu vijana hao kuachia video yao mpya inayokwenda kwajina AUMBORA ambayo kwasasa iko madukani na inafanya vizuri zaidi,Licha ya hayo vijana hao hivi kari...