Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|||| KUNDI LA WASOJALIBAND KUPIGA SHOW KUBWA NJE YA NCHI....Soma hapa zaidi..

Katika makundi yanayofanya vizuri hapa Afrika MAshariki kama kundi la WASOJALIBAND sio namba moja basi ni namba mbili.

Hii ni baada ya THEGREATMULLEYMEDIA kupokea ripoti kutoka BURUNDI kwa mmoja wa mashabiki tukimnukuu aliweza kuingia katika ukurasa wetu wa Facebook nakutuuliza "Mambo vipi kaka kuna kundi limeshika sana uku kwetu BURUNDI na nyimbo yao inajulikana kama NITALIA NAWE je wanatokea nchini Kenya ama Tanzania?" Alisema hayo shabiki huyo akiongeza na kuwa kwamba katika nchi ya RWANDI pia nyimbo hio pamoja na video imepenya sana,tuliweza kumjibu kwamba vijana hao sio wa Tz ni Wakenya tena kutoka Mombasa.

Hili ni onyesho wazi kwamba vijana hawa wanaeza kwenda katika nchi izo mbili na kupiga show maana tayari wamejenga familia ya mashabiki katika nchi izo mbili.
Kumbuka ni takriban wiki mbili zimepita tangu vijana hao kuachia video yao mpya inayokwenda kwajina AUMBORA ambayo kwasasa iko madukani na inafanya vizuri zaidi,Licha ya hayo vijana hao hivi karibuni watakuwa wanagonga video yao mpya ambayo bado jina liko katika mabano.

Hii Hapa Video yao Mpya ya AUMBORA....

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..