Video ya DANCE NA SHIRO ya msanii BENSO tayari ameweza kuiachia mapema hii leo ambapo ni video ilio kuwa inasubiriwa kwa sana. Video hii imeweza kuandaliwa na THOME ambaye aliweza ku direct video kama ONE CENTIMETRE ya msanii JAGUAR. Pata kuitazama video hio hapa.