Skip to main content

Posts

Showing posts from November 28, 2014

EXCLUSIVE VIDEO| ILE VIDEO YA OMMY DIMPOZ "TUPOGO" ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU NDIO HII HAPA...Pata kuitizama

Picha hizi zilisambaa miezi michache nyuma ambazo zilikua zikimuonyesha Ommy Dimpoz kama katoka kijijini amekuja mjini,zilizua maswali mengi sana na baadae alisema zilivuja maana zilikua zikihusu tamasha la Serengeti Fiesta. Video yake imeongozwa na Adam Juma kutoka Next Level,ndani ya video hii yupo pia mrembo Jokate ‘Jojo’ ambaye wanaonekana kwenye treni wakisafiri,hii ni remix iliyopigwa ki midundo ya mchiriku zaidi baada ya ile ya kwanza,humu kashirikishwa Msaga Sumu. Pata kuiizama..