Skip to main content

Posts

Showing posts from September 12, 2014

EXCLUSIVE: TAZAMA VIDEO MPYA YA MSANII ROJO-MO AKISHIRIKIANA NA TOTTI INAYOJULIKANA KAMA "MR.MIMI PIA".....Tizama hapa.

Video hio ilioachiliwa rasmi hapo jana inayojulikana kama MR.MIMI PIA ambapo imeimbwa na msanii anayejulikana kuwa ni mkali ki mashairi ROJO-MO akiwa amemshirikisha TOTTI ambaye ndiye aliyeitengeneza katika studio za KAY-G RECORDS. Video hio imetengenezwa na producer BULLET chini ya kampuni ya STUNNER PICTURES . Pata kuitazama video hio hapa....

MSANII JAGUAR AWAONESHA MASHABIKI WAKE VIPIMO VYAKE VYA HIV HADHARANI...Tizama hapa...

Hit maker wa "Kipepeo" hii leo aliweza kueka hadharani vipimo vyake vya HIV pale alipoenda kupimwa. Msanii huyo alifanya hivyo ili kuhamasisha vijana wakajue hali zao ili waishi vyema na kuweza kuzuia kuenea kwa virusi hvyo vya ukimwi. Kama una shaka na vipimo vyake basi jionee ndio hivi hapa.

ALI KIBA: "MWANA" ILIKUA NIIFANYE NA FALLY IPUPA LAKINI TUKAOGOPA SOMA HAPA UJUE KILICHO WAOGOPESHA....

Msanii wa Bongo anayejulikana kama Ali Salei Kiba tunaye mjua kama ALI KIBA amefunguka ya kwamba nyimbo aliyoitoa hivi majuzi ilikua aifanye na msanii kutoka DRC Congo anayejulikana kama FALLY IPUPA. Kiba alisema mipango hio ilitibuka pale alipojua kuwa ngoma hio ni kali bila mkali huyo wa Congo Fally Ipupa ivyo kumlazimu aiache kama ilivyo kwasasa na kuandaa wimbo mwingine atakao mshirikisha FALLY IPUPA. " (Mwana) Ilikua niifanye na Fally Ipupa before,lakini sasa tulipoona nimerekodi ikawa nzuri zaidi tukasema tusihiaribu anaweza recodi kumbe bahati mbaya ndio anaiaribu kwahivyo nikamwambia ngoma nyengine Fally ." Alisema kupitia kipindi cha XXL CLOUDSFM TZ., " Kwahivyo ilikua imeandaliwa beat lakini kwa utamu niliouzidisha mie ndani ya mpaka tukaogopa kwamba Fally sije akapotea ama kupoteza zaidi,lakini sikufikiria hilo,kitu cha muhimu nilichokifikiria kwamba ukiona nyimbo imekuwa zaidi sana iache hivyo hivyo iendelee tutafute kingine.

MZOZO BAINA YA KAA LA MOTO KIUMBE NA JOHNY SKANNY WACHUKUA HATAMU NYENGINE.....Soma aalichokisema Kaa La Moto hapa..

Mzozo ulio ibuka wiki hii baada ya tamasha la STYLAS AWARDS kutamatika wiki mbili zilizopita ,KAA LA MOTO KIUMBE alidai kuwa msanii mwenza wa HipHop anayejulikana kama JOHNY SKANY alimkaribisha kimadharau katika jukwaa la STYLAS kama msanii mchanga wa HipHop anayeibukia. Baada ya hapo ilichukua hatamu nyengine pale walianza kutupiana katika mitandao ya kijamii maneno ya chuki na mizozano ambapo Kaa La Moto alidai kuwa msanii Skanny awachie wenzake jukwaa kwani yeye amechoka na niwakitambo jambo lilo muudhi msanii Skanny nakuandika " Nakupa chance uonekane alafu unaleta kichwa!!!hahahahahah watoto wa leo balaa.tulia tukulee ..." kupitia mtandao wake wa Facebook. Katika mahojiano ya Moja kwa moja na vituo tofauti vya radio Kaa La Moto alidai kuwa hawezi pandishwa studio moja na JOHNY SKANNY kwani yeye anajiamini anaweza bila mkono wa mtu naye JOHNY SKANNY kudai kuwa kama mziki umemshinda Kaa La Moto arudi bongo alipo kuwa maana yeye hachezi na watoto wa dogo kama