Hit maker wa "Kipepeo" hii leo aliweza kueka hadharani vipimo vyake vya HIV pale alipoenda kupimwa.
Msanii huyo alifanya hivyo ili kuhamasisha vijana wakajue hali zao ili waishi vyema na kuweza kuzuia kuenea kwa virusi hvyo vya ukimwi.
Kama una shaka na vipimo vyake basi jionee ndio hivi hapa.

Comments
Post a Comment