Skip to main content

Posts

Showing posts from April 10, 2015

JE UMEPATA KUKITIZAMA CHUMBA CHA MTOTO MTARAJIWA WA MSANII DIAMOND PLATNUMZ "KIJACHO" PATAKUTIZAMA HAPA.

Maneno hayajengi nyumba wala hayabomoi nyumba kwa star DIAMOND PLATNUMZ. msanii huyo amekuwa akionyesha furaha yake kwa kila mtu kulingana na anavuomngojea mtoto wake na kwa hilo hatuwezi kumlaumu hata kidogo na kitu kimoja ni kuwa inawezekana akawa baba mzuri tu kwa mtoto wake mtarajiwa kwakuonesha furaha yake hio. Star huyo wa bongo amekuwa akionyesha machozi yake ya furaha kupitia mitandao yake yote ya kijamii pamoja akidhihirisha mapenzi yake na mama mtoto wake ZARI. Diamond amekuwa akionesha kitu kimoja kimoja ndani ya jumba lake hilo na kwasasa ameamua kuonesha mahali alipomtengea mtoto wake huyo " KIJACHO " na leo ameamua kuachia picha inayoonyesha kitanda cha mtoto wake pamoja na kila kitu chake. Hii ndio picha ya chumba cha mtoto wake.