Skip to main content

JE UMEPATA KUKITIZAMA CHUMBA CHA MTOTO MTARAJIWA WA MSANII DIAMOND PLATNUMZ "KIJACHO" PATAKUTIZAMA HAPA.



Maneno hayajengi nyumba wala hayabomoi nyumba kwa star DIAMOND PLATNUMZ. msanii huyo amekuwa akionyesha furaha yake kwa kila mtu kulingana na anavuomngojea mtoto wake na kwa hilo hatuwezi kumlaumu hata kidogo na kitu kimoja ni kuwa inawezekana akawa baba mzuri tu kwa mtoto wake mtarajiwa kwakuonesha furaha yake hio.

Star huyo wa bongo amekuwa akionyesha machozi yake ya furaha kupitia mitandao yake yote ya kijamii pamoja akidhihirisha mapenzi yake na mama mtoto wake ZARI.

Diamond amekuwa akionesha kitu kimoja kimoja ndani ya jumba lake hilo na kwasasa ameamua kuonesha mahali alipomtengea mtoto wake huyo "KIJACHO" na leo ameamua kuachia picha inayoonyesha kitanda cha mtoto wake pamoja na kila kitu chake.

Hii ndio picha ya chumba cha mtoto wake.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..