Skip to main content

Posts

Showing posts from December 20, 2014

AKOTHEE KUACHIA WIMBO NA VIDEO YAKE MPYA INAYOJULIKANA KAMA DJELE DJELE WIKI IJAYO....soma zaidi..

Msanii wa kike kutoka hapa mkoani anayejulikana kama AKOTHEE mkali wa PASHEE na KATIKA wiki jana alionekana katika maeneo ya MWANZA nchini Tanzania akifanya maanadalizi ya video yake atakayo itambulisha wiki ijayo juma nne inayojulikana kama DJELE DJELE. The Great Mulley tuliamua kumfukuzia hadi tukampata na kumuuliza mawili matatu na haya ndio alikuwa nayo yakusema "Djele Djele ni wimbo wangu mpya ambao nimeufanyia katika studio za KG-RECORDS chini ya producer wangu nnaye muamini namuita babanu kimziki maana ananilea sio mwengine bali Totti, na video mafans wangu waitarajie wiki ijayo jumanne ambapo nimeifanya na mkali wao HAMZA OMAR wa ONE POINT MONTAGE kwa hivyo watarajie kitu kikali kutka kwa AKOTHEE" alisema hayo. Tuliweza kumuuliza kwanini video hio ameifanyia katika ncini jirani Akothee alidai kuwa mahandhari ya aeneo hayo yaliambatana na nyimbo hio ndio maana akaenda kufanyia video uko. Hizi ndio baadha ya picha za video hio yake mpya itakayo tambuli