Skip to main content

Posts

Showing posts from July 5, 2015

EXCLUSIVE VIDEO| MA-JADEE-NATAMANI MAMA|Watch it here..

Baada ya kimya cha mda mrefu msanii mwenye makao yake nchini Ujerumani (GERMANY) lakini ni mzaliwa wa nchini KENYA. Msanii Ma-Jadee hapo jana aliachilia video yake mpya inayojulikana kama NATAMANI MAMA ,nyimbo hii imejawa na hisia nyingi tu maana msanii huyu alimpoteza mzazi wake ndipo ameamua kumuandikia wimbo huu kama ujumbe popote alipo. Katika video hii kuna mahali ambapo msanii huyo yuko katika maeneo ya maziara yaani makaburini akitoa heshima kwa katika kaburi ambapo tuna kisia kwamba nilamzazi wake.