Hiki ni kitengo cha kuwa THEGREATMULLEY itakuwa inakupatia mistari ya kila ngoma kutoka kwa msanii wako unae mpenda kutoka Afrika Mashariki. Leo tumeanza na ngoma inayozidi kutamba ndani ya anga za Afrika Mashariki amabayo inajulikana kama MIGOGORO kutoka kwa TOTTI MUSIC akiwa amempa shavu CHIKUZEE. Chorus Kila siku migogoro, migogoro, migogoro nawe Kila kitu migogoro, migogoro, migogoro nawe Mi staki migogoro, kila siku migogoro nawe Mi Staki migogoro, kila kitu migogoro nawe Verse 1 Wachonganishi hao, mpenzi wangu wee Hawalali kukesha kusema unafiki hao, baby wangu wee Usiskize maneno yao yana sumu hayo Hawataki tupendane, wanataka tugombane Hawataki niwe nawe, wanataka tuachane Mara tumekosana nyumbani mara hatuongeleshani Umenuna huongei, inaniuma sana Umenuna huongei, inaniuma sanaaaaa Chorus Kila siku migogoro, migogoro, migogoro nawe Kila kitu migogoro, migogoro, migogoro nawe Mi staki migogoro, kila siku migogoro nawe Mi Staki migogoro, kila ki...