Kuna habari kuntu zinazoenea kwamba V.MONEY na mkali kutoka Marekani TREY SONG wana uhusiano wakimapenzi hii ni baada ya kukutana ndani ya studio za COKESTUDIO Wiki iliyopita, Vanessa pamoja na wasanii wengine takriban 9 wa Afrika, waliingia studio na Trey Songz kurekodi wimbo kwaajili ya msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Afrika. Hata hivyo Trey alionekana kuwa karibu zaidi na Vee Money kiasi cha kuzusha tetesi kuwa huenda Jux akawa amesalitiwa. Anasema picha na video hizo zinatafsiriwa vibaya na kwamba yeye na Trey wamewahi kukutana kabla ya hapo na siku zote amekuwa karibu naye. “Me and J are 100,” Vanessa ameyaongea hayo baada ya kuulizwa kuhusu minong’ono hiyo. “The video and pictures going around are misinterpreted, I worked for MTV and had met Trey before, we were cool then and are cool now,” amesisitiza. “I respect him [Trey Songz], Juma and all our fans.” “Being a female artist in Africa, people are always waiting for any opportunity t...