Skip to main content

EXCLUSIVE STORY!!! HAYA NDIO WALIYOYASEMA WASOJALI BAND BAADA YA BAND ZENGINE KUCHIPUKA BAADA YAO...Soma hapa zaidi

Wanajulikana kama WASOJALIBAND ambao ni vijana wannne waliokuja katika tasnia hii ya mziki kwa uharaka sana na kukita mizizi na kwasasa wanafanya mambo makubwa katika jamii na katika mziki.
Kwasasa vjana hawa wanne wameachia ujio wao mpya unaokwenda kwajina WACHA WASEMA hii ni baada ya kuachia nyimbo yao iliokwenda kwajina NITALIA NAWE iliopokelewa vizuri zaidi hapa Afrika Mashariki (East Africa).

Hapo jana walikua katika media tour yao katika radio kuachia ujio wao katika vituo mbali mbali ambapo walianza na PWANIFM na kumalizia ndani ya PILIPILIFM,kama tunavyojua vijana hawa walipokua wanaanza hili ndio kundi tu liliokuwepo pekeake bila kundi lengine ila kwasasa kumezuka makundi mengi tu baada ya Wasojali band,WASOJALIBAND walisema kwamba makundi haya yaliotokea baada yao hayajawatikisa hata ndewe kwani wanajiamini zaidi maana siku zote sikio hazidi kichwa wao watabaki wakongwea wa Band zote zitakazo chipuka na zinazochipuka kwasasa  na kudai kwamba wao wanaongozwa na makundi matatu tu ya wasanii kutoka hapa nchini Kenya ambao ni H_ART_THE_BAND ELANI pamoja na SAUTI SOL.

Hii Hapa ndio nyimbo yao mpya inayokwenda kwajina WACHA WASEME



Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..