Skip to main content

Posts

Showing posts from February 20, 2015

+18!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!MREMBO HUDDAH MONROE AONYESHA PICHA ZA UTAMU WAKE AKIWA KITANDANI..

Huddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa. Mrembo huyo wa hapa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti. Mashabiki wake hawakusita kumchana. “Dnt you fear God?oh I like your beauty and en everything mash Allah but this idea of being naked subhanallah stop it.You are a good girl hudda you can change if you want,” aliandika Shankaroon A. Mohammed. “Wajameni u mean ur whoring for real?? Oh my… please stop proving ppl right n be decent now that uv achieved what u wanted… n be quiet, if not for anything else then respect your clientèle. This is wrong,” ameandika Brenskie La’femme .

#BREAKING NEWS: MSANII WA BONGO FLAVA MEZ B AMEAGA DUNIA...soma zaid.

Msanii Mez B aka Moses aliyekuwa Mkoani Dodoma kwa matibabu baada ya kurudishwa nyumbani na mama yake amefariki Dunia.Inasemekana kuwa msanii Mez B alikuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu [TB] na alikuwa kwenye dozi na leo ilikuwa siku ya tatu toka anatumia dawa hizo. Leo asubuhi kulingana na mtandao wa Sammisago.com aliamka na kunywa dawa na chakula ila hali yake haikuwa sawa na kuonekana amelegea. Daktari wake alipigiwa simu na kuamuru awekewe drip ila hali yake ikawa mbaya zaidi, wakati wanampeleka hospitalini alifia walipofika mapokezi. Jirana amelezea haya. Kumbuka msanii Mez B aliimba nyimbo kama KASUKU WANGE,NIMEKUBALI na KAMA VIPI aliyomshirikisha msanii wakike Ray-C a.k.a Rehema Chalamila. Pole kwa familia ya Mez B, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, Amen.