Msanii mkongwe wakike ambae kwasasa ameweza kukaa kimya tusijue anachokipanga, mapema jana aliweza kuongea kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusiana na mahusiano yake na mpenziwe. Mwanaisha almaarufu kama Nyota ndogo aliweza kuweka wazi kuwa amekua akiskia fununu yakwamba ametifuana ama kuachana na mpenzi wake ambaye ni raia wa Uingereza kwajina HENNINING NIELSON kupitia Instagram akaunt yake aliweza kuandika manenohaya akiambatanisha na picha ya mpenzi wake huyu Mdenmark " Jana nimeulizwa kama nimeachana na mume wangu maana kitambo sijamposti.wow hatujaachana but hilo swali nikama kuna watu wananiesabia siku zakuachana..anyway bado " Aliyatapika hayo kupitia mtandao wake wakijamii View this post on Instagram Jana nimeulizwa kama nimeachana na mume wangu maana kitambo sijamposti.wow hatujaachana but hilo swali nikama kuna watu wananiesabia siku zakuachana..anyway bado A post shared by nyota ndogo nielsen (@...