Skip to main content

KUNA WATU WANATAKA NIACHANE NA MZUNGU WANGU ILA WATAPATA TABU SANA NYOTA NDOGO AMUA KUFUNGUA KINYWA

Msanii mkongwe wakike ambae kwasasa ameweza kukaa kimya tusijue anachokipanga, mapema jana aliweza kuongea kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusiana na mahusiano yake na mpenziwe.
Mwanaisha almaarufu kama Nyota ndogo aliweza kuweka wazi kuwa amekua akiskia fununu yakwamba ametifuana ama kuachana na mpenzi wake ambaye ni raia wa Uingereza kwajina HENNINING NIELSON kupitia Instagram akaunt yake aliweza kuandika manenohaya akiambatanisha na picha ya mpenzi wake huyu Mdenmark "Jana nimeulizwa kama nimeachana na mume wangu maana kitambo sijamposti.wow hatujaachana but hilo swali nikama kuna watu wananiesabia siku zakuachana..anyway bado"
Aliyatapika hayo kupitia mtandao wake wakijamii 

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..