Skip to main content

Posts

Showing posts from July 31, 2015

CHAPA-TIZZOH KUWABANIA VIJANA WANAO KUJA KWA KASI ZAIDI WANAOJULIKANA KAMA WASIOJALI BAND..Soma hapa zaidi..

Mapema wiki hii kumekua na vuta nikute kutoka kwa management ya vijana wanaokuja kwa kasi sana wanaojulikana kama WASIOJALI BAND na msaniimkongwe kutoka Mombasa anayetambulika kama CHAPA-TIZZOH. Kuna ngoma moja ambayo inagombaniwa na wasanii hao ambao ni Tizzoh pamoja na kundi la vijana wannne wanaojulikana kama WASIOJALIBAND , katika ngoma hio kuna sauti ya mkali wa HIDAYA ambaye ni SUSUMILA inasemekana ngoma hioiliweza kurekodiwa mwaka huu mapema ambapo wasanii wawili ndio walio weka sautiambae ni TIZZOH pamoja na SUSUMILA na ngoma kutungwajina la JIRANI. Kulingana na management ya WASIOJALIBAND inasemekana waliweza kuiskia nyimbo hio na msimamizi wa vijana hao kuipenda nyimbo hio na kutaka kugharamikia video yake lakini pasi na sauti ya Tizzoh,nyimbo hio iliweza kurekodiwa tena lakini sauti ya Tizzoh iliweza kuondolewa na wale vijana kuchukua mistari hio hio na kuijaza sauti na nyimbo ilipokamilika ikapachikwa jina lile lile la JIRANI na ikawa ni nyimbo ya WASIOJALIBA