EXCLUSIVE STORY|||MASHABIKI WA TZ WAWACHAMBA MASHABIKI WA KENYA NA KUSEMA HAWAJUI KUFURAHIKIA MWANAMUZIKI HII NI BAADA YA SHOW YA MERU ALIOIPIGA DIAMOND PLATNUMZ...Soma hapa Zaidi
Kila msanii hujiskia raha na faraja pale anapopanda kwenye jukwaa na kuwatumbuiza watu ila kitu kianachomuuma zaidi pamoja na kujiuliza maswali mengi yasio na majibu ni pale anapotumbuiza ila watu hawafurahikii ama labda itakua wanafurahikia ila hawaoneshi dalili kama vile kucheza,Kuenua Mikono na mambo mengine. Wikendi iliopita starboy DIAMOND PLATNUMZ aliweza kukita kambi humu nchini Kenya katika Kaunti ya Meru na kupiga show kubwa na kukutana na halaiki ya mashabiki wake waliokuwa wamemtamani kwa muda mrefu maana amekuwa akija Kenya anaishilizia Mombasa na Nairobi. Diamond aliweza kukutana na mashabiki zake na kuwatumbuiza vilivyo lakini cha kushangaza mashabiki hao walikuwa ata mikono hawarushi kama vile msanii huyo alivyozoea katika show zake za FIESTA ama KILIMANJARO ,Mashabiki walikua makini wakipiga picha na kuchukua video kupitia simu zao za ANDROID ili waende wakazitizame majumbani kwao baada ya show hio. Kupitia account ya YOUTUBE yake Diamond Platnumz ...