Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|||MASHABIKI WA TZ WAWACHAMBA MASHABIKI WA KENYA NA KUSEMA HAWAJUI KUFURAHIKIA MWANAMUZIKI HII NI BAADA YA SHOW YA MERU ALIOIPIGA DIAMOND PLATNUMZ...Soma hapa Zaidi

Kila msanii hujiskia raha na faraja pale anapopanda kwenye jukwaa na kuwatumbuiza watu ila kitu kianachomuuma zaidi pamoja na kujiuliza maswali mengi yasio na majibu ni pale anapotumbuiza ila watu hawafurahikii ama labda itakua wanafurahikia ila hawaoneshi dalili kama vile kucheza,Kuenua Mikono na mambo mengine.

Wikendi iliopita starboy DIAMOND PLATNUMZ aliweza kukita kambi humu nchini Kenya katika Kaunti ya Meru na kupiga show kubwa na kukutana na halaiki ya mashabiki wake waliokuwa wamemtamani kwa muda mrefu maana amekuwa akija Kenya anaishilizia Mombasa na Nairobi.


Diamond aliweza kukutana na mashabiki zake na kuwatumbuiza vilivyo lakini cha kushangaza mashabiki hao walikuwa ata mikono hawarushi kama vile msanii huyo alivyozoea katika show zake za FIESTA ama KILIMANJARO,Mashabiki walikua makini wakipiga picha na kuchukua video kupitia simu zao za ANDROID ili waende wakazitizame majumbani kwao baada ya show hio.

Kupitia account ya YOUTUBE yake Diamond Platnumz aliweza kuweka video za show yake hio ya MERU na mashabiki kutoka Kenya na Tanzania kupatana uko katika Youtube kwenye comment MAshabiki wa Tz waliweza kuwashambulia wale wa Kenya kuwa hawapendi burudani ndio maana ata wasanii wao hawafikii anga za mbali wanaishilizia humu humu nchini Kenya maana mashabiki wao hawatoi sapot ya nguvu kwao.

Hizi hapa ndio Video za DIAMOND PLATNUMZ kuanzia part1 mpaka 5 akitumbuiza akiwa akitumbuiza juu ya Jukwaa la MERU wikendi iliopita.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.