Skip to main content

Posts

Showing posts from August 22, 2016

EXCLUSIVE STORY|||WASANII KUTOKA JIMBO LA MOMBASA WAKASHIFU VIBAYA WALIVYOTENDEWA HAPO JANA BAADA YA SAUTI SOL ,WILLY PAUL NA ALI KIBA KUINGIA...........Soma hapa zaidi

Kila mwaka mwezi wa nane kuna kuwa na tamasha la TUKUTANE MOMBASA ambalo huandaliwa na kaunti ya Mombasa. Kati ya wasanii waliohudhuria tamasha hilo kutoka nje ya Mombasa ilikua ni ALI KIBA , SAUTI SOL , WILLY PAUL kutoka hapa Mombasa ilikua ni AMOURY BEYBY,SUSUMILA,DAZLAH,NYOTA NDOGO. Habari zinazogonga meza yetu ya EXCLUSIVE STORY zinasema kwamba wasanii kutoka Mombasa walikuwa hawashughulikiwi na mtu yeyote kama vile wao pia walikua ni mashabiki,waliweza kuketi chini katika vumbi ambapo wengine walikua wamevaa kifo cha mkongomani yaani walikua wamegonga pamba kinomanoma lakini walilazimika kuketi chini kuanzia mida ya saa tisa adhuhuri mpaka saa kumi na mbili za jioni. Kitendo hicho kiliweza kughadhabisha msanii mkongwe kutoka Mombasa ambaye ni hit maker wa Wewe  SUSUMILA,hadi kusikika akisema " KWANINI SISI TUSIMAME NA WATU WAKAWAIDA WAMEKAA SISI NI WASANII BANA HII SI HAKI  "hadi kwenda moja kwa moja na kikoi chake hadi walipokuwa wamekaa watu wakawaida na