Skip to main content

EXCLUSIVE STORY|||WASANII KUTOKA JIMBO LA MOMBASA WAKASHIFU VIBAYA WALIVYOTENDEWA HAPO JANA BAADA YA SAUTI SOL ,WILLY PAUL NA ALI KIBA KUINGIA...........Soma hapa zaidi

Kila mwaka mwezi wa nane kuna kuwa na tamasha la TUKUTANE MOMBASA ambalo huandaliwa na kaunti ya Mombasa.

Kati ya wasanii waliohudhuria tamasha hilo kutoka nje ya Mombasa ilikua ni ALI KIBA,SAUTI SOL,WILLY PAUL kutoka hapa Mombasa ilikua ni AMOURY BEYBY,SUSUMILA,DAZLAH,NYOTA NDOGO.

Habari zinazogonga meza yetu ya EXCLUSIVE STORY zinasema kwamba wasanii kutoka Mombasa walikuwa hawashughulikiwi na mtu yeyote kama vile wao pia walikua ni mashabiki,waliweza kuketi chini katika vumbi ambapo wengine walikua wamevaa kifo cha mkongomani yaani walikua wamegonga pamba kinomanoma lakini walilazimika kuketi chini kuanzia mida ya saa tisa adhuhuri mpaka saa kumi na mbili za jioni.

Kitendo hicho kiliweza kughadhabisha msanii mkongwe kutoka Mombasa ambaye ni hit maker wa Wewe SUSUMILA,hadi kusikika akisema "KWANINI SISI TUSIMAME NA WATU WAKAWAIDA WAMEKAA SISI NI WASANII BANA HII SI HAKI "hadi kwenda moja kwa moja na kikoi chake hadi walipokuwa wamekaa watu wakawaida na bila kuwabembeleza aliweza kuwaenua na mmoja baada ya mwengine akiwaambie waenukie viti wawapishe wasanii ambapo kazi hio ilikua haimfai yeye kabisa lakini aliweza kuchukua amri mkononi ilikuridhisha wasanii wenzake.
DAZLAH ambaye ni hitmaker wa KIDEKIDE aliweza kusukumwa nje pale alipokua amekaa hadi katika umati wa watu pale ambapo msanii kutoka jijini Nairobi anaingia katika chandarua,msanii mwenyewe alikua ni WILLY PAUL ambapo watu wote waliweza kusukumwa nje ikiwepo wasanii na VIP ambao walikua wamekaa katika chandarua hicho .

Kupitia mdokezi wetu aliweza kuripoti kwamba kimtazamo wa uso wa msanii Dazlah alikuwa amekasirishwa na kitendo cha security hao na kuonekana akiteta hadi kuchukua hatua ya kuchukua ma dancer wake na kutoka huku akionekana amejawa na hasira nyingi, Kupitia Simu tuliweza kuongea na msanii Dazlah na haya ndio aliyoyasema "Kiukweli sikujishisi vizuri vile wale security walivyofanya maana waliweza kusukuma watu lakini siwezi kuwalaumu sana kwasababu walikua kazini maana walikua hawajui msanii ni nani na shabiki ni nani lakini kitendo walichokifanya sikukifurahia kabisa" Alisema DAzlah


Comments

  1. Those are the kind of shit that I don't take, its one the reasons I didn't attend the entire event, wasanii wa Mombasa hudharauliwa sana na hata malipo huwa ni duni sana ukilinganisha na malipo ya wasani wengine kutoka nje ya Mombasa.
    I respect myself .

    ReplyDelete
  2. Thats just one of the reasons my team and I didn't have to waist our time to even attend that piece of shit. Starting from the so called "leaders" to the event organizers of every event from the coast, I have only a few words for you; you are a just but a bunch opportunists, or better say, "putos". Sart by support ing the young ,our very own,and talented coz whatever keeps happening in every event... I swear you'll all hate me this one time coz I'll f*** the sh*** on your faces.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..