Skip to main content

Posts

Showing posts from November 2, 2018

ZIKKY KENYA ARUSHA DONGO KWA MA-"PRESENTER" NA "PROMOTER" WANAOBABAIKIA WASANII WA NJE.....

Ziky Kenya ni mmoja ya wasanii wazuri tu kutokea hapa nchini Kenya katika jimbo la Mombasa na yuko chini ya Madam boss Akothee. Msanii huyo mapema hii leo ameweza kuweka wazi jambo linalo mkera na kumkereketa kuhusiana na mziki wa Mombasa na Kenya kwa ujumla.Ziky aliweza kunyoosha maneno yake yakiwa yamejawa na uchungu mwingi kutoka roho ambapo aliweza kueleza bila kuogopa jinsi washikadau wetu wamuziki wanababaikia wasanii kutoka nchi za nje wakiwa wanakuja kufanya matamasha yao mjini Mombasa. Ziky ambaye yuko chini ya uongozi wa AKOTHEE SAFARIS mapema Ijumaa tarehe mbili mwezi wakumi na moja saa tano na takriban dakika arubaini aliweza kuyamwaga maneno haya " HIVI HUYU DOGO NDO NANI ?? NAONA AMEPEWA BONGE MOJA LA SUPPORT MOMBASA ZAIDI HATA YA WASANII WA HAPA .WENGINE JUZI WALIACHA HATA MAKAZI YAO KWA KUZUNGUKA BARABARANI NA KUKODISHA MAGARI ILI IONEKANE JAMAA ANAMASHABIKI ... MBONA MKIWAPA SHOW WAKINA  Susumila   Yusuf   Chikuku   Chikuzee  FRANK DEE NYOTA NDOGO  Kaa