Skip to main content

Posts

Showing posts from April 27, 2015

JE UMEWEZA KUITIZAMA "NASEMA NAWE" REMIX YA DIAMOND PLATNUMZ ILIYO RUDIWA NA MCHESHI ERIC OMONDI?..Itazame hapa...

Katika pitepite zetu katika mitandao leo hii tumekumbana na mpya kabisa kutoka kwa ukura wa Facebook wa mcheshi ERIC OMONDI. Eric Omondi tunamjua kupitia sarakasi zake akiwa kwenye jukwaa lakini leo hii amekuja tofauti na kuichukua NASEMA NAWE ya staa wa bongo DIAMOND PLATNUMZ nakuirudia na kuiita NABEBA MAWE. Pata kuitazama video hio hapa...