Skip to main content

Posts

Showing posts from January 20, 2015

EXCLUSIVE AUDIO |DOWNLOAD MISS ANGELLA BY EDDY TICHA...

Pata wimbo pya kutoka kwa msanii anayekuja kwa kasi aliyekuletea vibao kama VUNJA na KATOTO . Eddy Ticha ni msanii aliyekuwa katika kundi la lilojulikana kama WATASH kipindi cha nyuma ambapo kundi hilo lilikua likiongozwa na wasanii watatu ambao ni mandugu wa damu ambapp alikuwemo MASTAAJABU , SHEKEI na EDDY TICHA . Eddy Ticha ameamua kutoka pekeake katika kundi hilo ili kila mmoja aonyeshe umahiri na ubunifu wake kimziki alafu ndipo kundi hilo lirudi tena kwa kishindo ambapo itakua ni baada ya kila mmoja kuachia single yake.  Huu hapa ni wimbo mpya wa msanii EDDY TICHA unaojulikana kama MISS ANGELA pata ku download hapa.