Skip to main content

EXCLUSIVE AUDIO |DOWNLOAD MISS ANGELLA BY EDDY TICHA...


Pata wimbo pya kutoka kwa msanii anayekuja kwa kasi aliyekuletea vibao kama VUNJA na KATOTO.
Eddy Ticha ni msanii aliyekuwa katika kundi la lilojulikana kama WATASH kipindi cha nyuma ambapo kundi hilo lilikua likiongozwa na wasanii watatu ambao ni mandugu wa damu ambapp alikuwemo MASTAAJABU,SHEKEI na EDDY TICHA.

Eddy Ticha ameamua kutoka pekeake katika kundi hilo ili kila mmoja aonyeshe umahiri na ubunifu wake kimziki alafu ndipo kundi hilo lirudi tena kwa kishindo ambapo itakua ni baada ya kila mmoja kuachia single yake.

 Huu hapa ni wimbo mpya wa msanii EDDY TICHA unaojulikana kama MISS ANGELA pata ku download hapa.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..