Skip to main content

Posts

Showing posts from July 9, 2016

NEW MUSIC ALERT| NAY WA MITEGO-PALE KATI PATAMU| HII HAPA NIMEKUEKEA IPAKUE....

Ni mmoja ya wasanii matata sana katika mitindo ya kuchana na ni mmoja wa wana Hip Hop wanaochana na kuimba apa namzungumzia NAY WA MITEGO ambapo baada ya SAKA HELA amekuja na hii hapa nyengine inayokwenda kwajina PALE KATI PATAMU. Kama tunavyojua Nay ni msanii anayependa kuchana watu pamoja na wasanii wenzake je round hii ameimba nini ama amechana nani? Maswali yako yajibu kwa kuipakua nyimbo yake hapa chini.

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.