Skip to main content

Posts

Showing posts from March 4, 2015

"WASICHANA TUMIENI CONDOM MKIFANYA MAPENZI KAMA HAMUEZI KUVUMILIA NA KUSTAHIMILI" NYOTA NDOGO AONGEA NA WASICHANA

Mapema hii leo kupitia ukurasa wake wa facebook msanii mkongwe wakike kutoka hapa nchini aliweza kuzungumza na wasichana wadodo wanaoanza kubalehe. Kwa mtazamo wa ile status yake Nyota inaonekana aliweza kuandika maneno hayo kwa uchungu zaidi ikiweza kuonekana kuwa ni jambo ambalo limeweza kumkera kuanzia kitambo nakuamua hii leo kufunguka, Msanii huyo aliweza kuandika maneno haya " Ujumbe wangu kwa waschana.muache kufanya mapenzi mapema yani umri mdogo.enyewe ni ngumu kuwakanya ila kama lazima ufanye mapenzi tumia condom kujiuepusha na ukimwi na mimba.na kama utapata mimba basi usiitoe maana wengine MUNGU umewapa yai moja tu.unaweza toa na ndio iwe basi kwako.boyfriend yako akikwambia uitoe basi jua hajakuesabu kwa maisha yake kwa mda mrefu.jitoe.unaswali.ushauri tu wa maisha."   Alisema Nyota. Huku ikizingatiwa kuwa msanii huyo sio mwingi wakusema maneno kama haya THEGREATMULLEY tuliweza kumtafuta ili atueleze kinagaubaga lakini mbinu zetu zakuwasiliana naye zilig