Skip to main content

"WASICHANA TUMIENI CONDOM MKIFANYA MAPENZI KAMA HAMUEZI KUVUMILIA NA KUSTAHIMILI" NYOTA NDOGO AONGEA NA WASICHANA


Mapema hii leo kupitia ukurasa wake wa facebook msanii mkongwe wakike kutoka hapa nchini aliweza kuzungumza na wasichana wadodo wanaoanza kubalehe.

Kwa mtazamo wa ile status yake Nyota inaonekana aliweza kuandika maneno hayo kwa uchungu zaidi ikiweza kuonekana kuwa ni jambo ambalo limeweza kumkera kuanzia kitambo nakuamua hii leo kufunguka,

Msanii huyo aliweza kuandika maneno haya "Ujumbe wangu kwa waschana.muache kufanya mapenzi mapema yani umri mdogo.enyewe ni ngumu kuwakanya ila kama lazima ufanye mapenzi tumia condom kujiuepusha na ukimwi na mimba.na kama utapata mimba basi usiitoe maana wengine MUNGU umewapa yai moja tu.unaweza toa na ndio iwe basi kwako.boyfriend yako akikwambia uitoe basi jua hajakuesabu kwa maisha yake kwa mda mrefu.jitoe.unaswali.ushauri tu wa maisha."  Alisema Nyota.

Huku ikizingatiwa kuwa msanii huyo sio mwingi wakusema maneno kama haya THEGREATMULLEY tuliweza kumtafuta ili atueleze kinagaubaga lakini mbinu zetu zakuwasiliana naye ziligonga mwamba.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..