Skip to main content

Posts

Showing posts from September 10, 2015

NEW VIDEO ALERT| BELLARY CLASSIC-KILA SAA| WATCH IT HERE...

Bellary Classic ni msanii anayeinukia na kipaji chake cha umbaji wake na ni moja ya wasanii wanaojituma sana katika tasnia hii ya mziki. Mapema wiki hii alikua jijini Nairobi ambapo alienda kuiachia rasmi video yake mpya kabisa inayojulikana kama KILA SAA ndani ya mkahawa wa TRIBEKA. Pata kuitazama video hio hapa..

NEW AUDIO ALERT| HII NI NGOMA MPYA YA MSANII ROMA AMBAYO INASEMEKANA INATAKAKUBANIWA KUCHEZWA KATIKA VITUO VYA RADIO, INAYOJULIKANA KAMA VIVA ROMA VIVA| SKIZA NA DOWNLOAD HAPA

Baada ya kuiachia ngoma yake VIVA ROMA VIVA mapema wiki hii inayosemekana imejaa ukweli ndani yake ngoma hio haijapa nafasi ya kupenya katika media nchini Tanzani. Ngoma hio ya msanii wa Hip Hop ROMA MKATOLIKI inayosemekana imejawa na ukweli ndani yake inasemekana imeweza kufungiwa isischezwe ambapo hadi sasa haijabainika kinachofanya ngoma hio kutaka kubaniwa. Hapo jana msanii huyo kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM aliweza kuandika maneno mazito na haya ndio aliyoyaandika kuhusiana na fununu hizo zinazoendelea WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU ZANGU!! Viva Roma viva✌✌✌ A photo posted by Viva ROMA Viva (@roma2030) on Sep 9, 2015 at 10:01am PDT Pata ku Download nyimbo hio hapa.

NEW AUDIO ALERT| P THE MC,ZAIID AND SONGA-MBADILIKO| OJUELEGBA WIZKID INSTRUMENTAL| LISTEN AND DOWNLOAD IT HERE

Wasanii kutoka Bongo Tz vichwa vya Hip Hop vitatu apa namzungumzia P THE MC , ZAIID na SONGA waimiliki beat ya WIZKID OJUELEGBA na mistari mikali lakini hii wameifanywa kwa siasa zinazoendelea nchini Tanzania.