Skip to main content

Posts

Showing posts from December 2, 2015

NEW AUDIO ALERT| TUNDA_MAN-MAMA KIJACHO| LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Download new audio MAMA KIJACHO from TUNDA MAN. .

#TGM_TRENDING_VIDEO| HII NI MOJA KATI YA VIDEO ZINAZOSUMBUA KATIKA RUNINGA ZETU| BABU DEE MAPETE-NAIROBI BARIDI

Kati ya video zinazosumbua katika runinga zetu hii hapa kama sio namba moja basi ni mbili kutoka Mombasa. Video hii inayotambulika kama NAIROBI BARIDI imetoka kwa BABU DEE MAPETE ambapo pia ni moja ya wasanii walio shikilia nguzo za sanaa kuanzia kitambo na bado wako kwenye gaame. Pata kuitazama video hio hapa...

EXCLUSIVE VIDEO| THE AWAITED VIDEO IS OUT| ALLY B-BEMBEA| WATCH IT HERE...

Kati ya video zilizokua zinangojewa kwa hamu na ghamu na mashabiki hii hapa ya nguli wa mziki ALLY B ni moja kati ya hizo. Hii ndio video ambayo msanii huyo amesema imgharimu kima kirefu cha hela kuanzia aingie katika tasnia ya mziki,video inajulikana kama BEMBEA ambayo imekitiwa chini na director nguli LIL GU G na audio imetoka kwa AMZ WA LEO. Pata kuitazama hapa chini...