#TGM_TRENDING_VIDEO| HII NI MOJA KATI YA VIDEO ZINAZOSUMBUA KATIKA RUNINGA ZETU| BABU DEE MAPETE-NAIROBI BARIDI
Kati ya video zinazosumbua katika runinga zetu hii hapa kama sio namba moja basi ni mbili kutoka Mombasa.
Video hii inayotambulika kama NAIROBI BARIDI imetoka kwa BABU DEE MAPETE ambapo pia ni moja ya wasanii walio shikilia nguzo za sanaa kuanzia kitambo na bado wako kwenye gaame.
Pata kuitazama video hio hapa...

Comments
Post a Comment