Skip to main content

Posts

Showing posts from August 8, 2016

EXCLUSIVE NEW VIDEO| MABIBI NA MABWNA ILE VIDEO MULIKUA MUNAINGOJEA YA SUSUMILA NA AVRILL HII HAPA "WEWE"...Tazamia hapa

Kumbuka video hii ya SUSUMILA akiwa amemshirikisha mtoto mzuri AVRILL ni moja wapo ya video ilio ama nyimbo iliokuwa inangojewa kwa hamu kubwa zaidi. Video imeweza kuketiwa chini na director mkali kutoka hapa nchini anayekwenda kwajina RICKY BEKKO na Audio imetoka mikononi mwa Produza TOTTI LA INTERNATIONALE ndani ya studio za  KAY G RECORDS. Pata kuitazamia hapa video hio ya WEWE

"VIDEO YANGU YA KIGARIMBWE IMENILETEA SHIDA NA MKE WANGU PAMOJA NA MAMANGU" MSANII ONTOZZY AFUNGUKA

Video ya KIGARIMBWE ya Ontozzy inayofanya vizuri katika media yamkosanisha msanii huyo na Mamake pamoja na Mke wake. Ni takriban mwezi mmoja tangu huyu msanii kuachia video yake inayokwenda kwa jina KIGARIMBWE,kumbuka kila akipigia show nyimbo hio aliomshirikisha FAT-S anaonekana mwenye raha lakini kumbe kuna watu hawajipenda video ya nyimbo hio kabisa akiwepo mamake pamoja na mkewe wa ndoa "Nilipomaliza kushoot video hio na BULLET kuitengeneza hadi kuimaliza aliweza kuniita na kunipa video hio lakini nilipoipeleka nyumbani na kuitazama pamoja na mama watoto wangu aliweza kuenuka na kuendajikoni sikumuelewa hadi ilipoisha,niliweza kumuuliza maoni yake na hakuweza kuvumilia na kuniambia peupe kwamba hajapendezwa na warembo waliokuwa katika video hio walivyokuwa wanacheza na visikati vyao niliweza kum'bembeleza anielewe kuwa ile ni kazi lakini ni kama maneno yangu nilikua na yatupa chooni maana yaliingia na sikio la kulia na kuingia kushoto" Alisema Ontozzy. Mbali