Skip to main content

Posts

Showing posts from May 31, 2016

NEW SONG ALERT| WASOJALIBAND-AUMBORA| DOWNLOAD IT HERE..

Baada ya kuachia nyimbo yao ya NITALIA NAWE vijana wanaokuja kwa kasi WASOJALIBAND wamekuletea tena nyimbo yao mpya inayojulikana kama AUMBORA. Tukiongea na meneja wa WASOJALIBAND aliweza kusema kwamba idea ya wimbo AUMBORA ni historia ya ukweli iliomtokea rafiki yake wa karibu,ambaye alikuwa na dadake mkubwa na waliishi maisha yakuteseka hadi dadake rafike yake huyo akaamua kwenda kufanya kazi katika nchi za uarabuni na alipoenda mpaka waleo hajaweza kurudi tena na hawajua alipo dada yao,ndio huu wimbo wa Aumbora ni kama meseji imfikie dada yao kokote aliko. Imeketiwa chini na produza Noizer Kutoka Green House Production. Pata kuipakua nyimbo hio hapa upate ujumbe mtamu.