#TGM_EXCLUSIVE:HAYA NDIO MAPENZI YA MAMA KWA MWANAWE SOMA HAPA UONE BAWAZIR ALICHOFANYIWA NA MAMAKE MZAZI WIKENDI ILIOPITA....
Wasanii wengi wanapoingia katika tasnia ya mziki wanakuwa na uoga pamoja na wasiwasi ili wazazi wao wasijue na wengi hufanya siri ata wanapoenda studio wazazi wao huwa ngumu kujua. Hapa imekuwa tofauti kabisa kupitia mamake msanii ambaye anakuja vizuri katika tasnia hii ya muziki wa Kenya apa namzungumzia BAWAZIR BEYBY. Tofauti yake imekuwa hapa kwani mamake msanii huyu ameweza kujitolea kwa hali na mali kumsukuma mwanawe kimziki bila kuangalia nyuma wala kuskia la muadhini wala la mteka maji msikitini. Wikendi hii kulikua na tuzo ambazo zilikuwa zinafanyika katika ukumbi wa SEAFRONT ambapo msanii huyu aliweza kupewa tuzo kama msanii anayechipuka,kitengo chake kilipotangazwa kwa bahati mbaya ama nzuri msanii huyu hakuweza kujitokeza na umati ulibaki kinywa wazi pale mamake mzazi BAWAZIR BEYBY aliweza kuenuka alipokuwa amekaa na kuifuata tuzo hio ya mwanawe umati wote ulibaki kinywa wazi wakijiuliza maswali lakini hakuna aliye kuwa na jibu mbali na mamake msanii huyo ambapo...