EXCLUSIVE STORY| UNAKIJUA KILICHO SABABISHA RABIZZLE NA SIS P KUACHANA NA KUMKIMBILIA PRODUZA KHALID WA AMILLION RECORDS?.Pata story nzima hapa
Tukiachana na story zinazoendelea katika mitandao ya kijamii dhidi ya msanii wakike SIS P, mapema hii leo alifunguka yake ya moyoni. Hii leo ndani ya kipindi cha MASHAV MASHAV UNIVERSITY kinachoongozwa na GATES MGENGE msanii wakike SIS P alikua kikaangoni ambapo aliweza kutiririka majibu bila kusita. GATES MGENGE. Gates Mgenge aliweza kumuuliza msanii huyo wakike kwamba uhusiano wake na Rabizzle uko vipi naye aliweza kusema kwamba ameachana na Rabizzle kwasababu ambazo asingeweza kuzitamka lakini alijikuta ghafla anatamka kwamba RABIZZLE alikua akimtelekeza kwamba alikua akimpiga saa zote kwa kosa dogo tu "Rabizzle tuweza kuachana kitambo na sababu zilinifanya tuachane sio zaidi ya moja maana kuna wakati pia alinipiga karibu nipelekwe hosipitali jambo ambalo liliweza kuni kwaza sana." Rabizzle Gates aliweza kumuuliza kama Produza Khali ni mchumba wake ama ni msanii tu kama wasanii wengine Sis P aliweza kusitasita lakini mwisho kusema kwa Khalid ndi...