Skip to main content

EXCLUSIVE STORY| UNAKIJUA KILICHO SABABISHA RABIZZLE NA SIS P KUACHANA NA KUMKIMBILIA PRODUZA KHALID WA AMILLION RECORDS?.Pata story nzima hapa


Tukiachana na story zinazoendelea katika mitandao ya kijamii dhidi ya msanii wakike SIS P,mapema hii leo alifunguka yake ya moyoni.

Hii leo ndani ya kipindi cha MASHAV MASHAV UNIVERSITY kinachoongozwa na GATES MGENGE msanii wakike SIS P alikua kikaangoni ambapo aliweza kutiririka majibu bila kusita.

GATES MGENGE.

Gates Mgenge aliweza kumuuliza msanii huyo wakike kwamba uhusiano wake na Rabizzle uko vipi naye aliweza kusema kwamba ameachana na Rabizzle kwasababu ambazo asingeweza kuzitamka lakini alijikuta ghafla anatamka kwamba RABIZZLE alikua akimtelekeza kwamba alikua akimpiga saa zote kwa kosa dogo tu "Rabizzle tuweza kuachana kitambo na sababu zilinifanya tuachane sio zaidi ya moja maana kuna wakati pia alinipiga karibu nipelekwe hosipitali jambo ambalo liliweza kuni kwaza sana."
Rabizzle

Gates aliweza kumuuliza kama Produza Khali ni mchumba wake ama ni msanii tu kama wasanii wengine Sis P aliweza kusitasita lakini mwisho kusema kwa Khalid ndie mume wake mtarajiwa na pia sio sio kwa vile ni mtu wake wa karibu basi atakua anafanya kazi AMILLION aliweza kusema kwamba produza KHALID alimpa ruhusa ya kufanya kazi katika studio yoyote hapa nchini.

Sis P aliweza kusema kwasasa yuko chini ya AMILLION RECORDS na sio chini ya RABBIZZLE kama ilivyokuwa mwanzo.

Msanii huyo ameweza kuachilia ujio wake mpya unaokwenda kwa jina BONGE LA BWANA ambapo video yake iko njiani na muda wowote inatarajiwa kuachiliwa video hio inaemekana imgharimu nusu Milioni.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..