Skip to main content

Posts

Showing posts from September 17, 2015

EXCLUSIVE AUDIO| SULTAN BKZ-CHOZI LA MNYONGE| LISTEN AND DOWNLOAD HERE

SULTAN BKZ ni moja ya wasanii wakongwe katika tasnia hii ya muziki na mwenye sauti iliojawa na mnato zaidi,hii ni nyimbo yake mpya inayojulikana kama CHOZI LA MNYONGE kutoka studio za MOTOWN RECORDS. Skiza na upate kudownload hapa.. CHOZI LA MNYONGE-SULTAN BKZ DOWNLOAD APA

NEW VIDEO ALERT| BWENYENYE FEAT SUSUMILA-HINDE|WATCH IT HERE AND READ MORE ABOUT BWENYENYE..

BWENYENYE ndiye msanii ambae wakati wa nyuma tulimjua kama DOUBLE S akaja akapotea nakurudi tena akiwa chini ya mikono ya KAKA SUNGURA " KING KAKA " na kutoa nyimbo kadhaa akiwa naye na ghafla akapotea tena katika mziki hayo yote tutakuwa tunakujuza ndani ya story inayokuja ambapo tutakuwa tutakuwa tunapiga naye stori ndani ya #TGM_EXCLUSIVE. Hii hapa ni video yake mpya ambayo amemshirikisha msanii ambaye anajituma zaidi katika mziki wake tunamjua kama SUSUMILA ambaye pia yeye alianzisha EMPIRE yake inayojulikana kama MISHE MISHE MUSIC EMPIRE ,video yenyewe inakwenda kwa jina HINDE ambayo iliweza kuachiliwa hapo jana,imeketiwa kitako na director RICKY BEKKO chini ya BIG DREAMS na audio imetokeakatika studio za SQ chini ya produza AMZ WA LEO. Pata kuitizama video hio hapa... CLICK HERE TO WATCH HINDE VIDEO BY BWENYENYE.