Skip to main content

Posts

Showing posts from September 2, 2015

NEW VIDEO ALERT| RUN TOWN FEAT WIZKID AND WALSHY FIRE-BEND DOWN PAUSE| WATCH IT HERE...

Msanii RUN TOWN ameachilia video akiwa amewashirikisha WIZKID na WALSHY FIRE wimbo unajulikana kama " BEND DOWN PAUSE ." Watch it here..

HII NDIO FAMILIA YA ANTHONY MARTIAL ALIYESAJILIWA MAN UNITED PAMOJA NA WATOTO WAKE..

Klabu ya  Manchester United  imemsajili mshambuliaji mwenye umri wa miaka 19 kwa dau la pound milioni 36 akitokea klabu ya  Monaco  ya  Ufaransa ,  Anthony Martial   lakini mashabiki wamekuwa wakihoji kiwango hicho cha fedha kwa mchezaji huyo chipukizi, huenda ni kwa sababu hawa mfahamu. Martial ni mchezaji au mtu mwenye tabia za kupenda kukaa ndani, kupenda kupikiwa chakula na mama yake, ni mpenzi wa kuangalia Tv na kukaa na familia yake wakati ambapo anakuwa kamaliza kucheza mechi au kufanya mazoezi. Mshambuliaji huyo amemuoa Samantha na wana mtoto mmoja wa kike anaitwa Toto, huku wakitarajia kupata mtoto wa pili kwani mpenzi wake ni mjamzito kwa sasa. Dau la uhamisho wa Martial ambalo linafikia pound milioni 58 pamoja na bonus, linamfanya atajwe kama mchezaji mdogo mwenye thamani zaidi Martial ambaye watu na vyombo vingi vya habari za michezo hupenda kumlinganisha na mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa Thierry Henry, huwa na tabia ya kupenda kucha