Skip to main content

Posts

Showing posts from April 5, 2016

AMA KWELI TOTTI AMEBOBEA KATIKA TASNIA HII YA MUZIKI TIZAMA HAPA LIVE AKICHEZA "KASAGA" KUPITIA GUITAR LAKE NDANI YA STUDIO ZA RADIO KAYA....

Tukiongelea watengezaji muziki na waimbaji waliobobea katika tasnia hii ya mziki produza msanii TOTTI kama hatokuwa number moja basi atakua baadhi ya wale ma produza wasanii walio timia. Mapema leo hii Totti aliweza ku share na watu video yake fupi isiozidi dakika mbili akicheza live wimbo wake " KASAGA " ambao kwasasa ndio unashikilia chat mbali mbali ndani ya Kenya alikua ndani ya studio za RADIO KAYA hapo Ijumaa ambapo hakutaka kuridhisha maskio ya wasikilizaji pekeake bali alitaka pia yule ambaye hakupata nafasi ya kuskiza basi atizame live. Pata kuitazama hapa Live