Skip to main content

Posts

Showing posts from August 25, 2014

DIRECTOR WA VIDEO ENOS OLIK INASEMEKANA ALIWA DHALILISHA KIDIS NA TOTTI KWA VIDEO YAO MPYA YA TWENDE OUT..

Wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na uandaaji wa video mpya ya Kidis akiwa na Totti ambapo walikuwa wanairudia video ya mpya ya " TWENDE OUT " ama " TUJIRUSHE "  ambapo msanii mwenzao Jaguar alikiri kuigharamikia video hio mpya lakini kufikia sasa Kidis na Totti wanasema hawajui kinachoendelea baina yao na Director wa Video hio anayejulikana kama ENOS OLIK. Tukiongea na Kidis alisema kuwa yeye haelewi kinachondelea ambapo alikabidhiwa video hio na alipopewa hakuwa na lakusema akampa msanii mwenzake Totti ili aweze kuitizama pia yeye ambapo video hio Kidis alisema ilikuwa imewekwa katika VCD na kuambiwa ni HD video lakini kuitazama vizuri waliambulia kukasirika na kumrudishia director huyo video yake wakiwa wamejawa na hasira. Totti naye alisema video ilikuwa ni mbovu "Poor Quality" Totii alisema na pia akaongezea na kusema pia video hio ilitoka tofauti na vilie walivyo fikiria na wote waliamua kuirudisha kwa director huyo shupavu ili airudili