Skip to main content

Posts

Showing posts from January 16, 2017

TEN DOWN WAMERUDI TENA KWENYE MASIKIO YAKO NA ROUND HII SI MCHEZO "PARTY" NDIO JINA LA NYIMBO.....IPATE HAPA

Kundi tata La Hip Hop kutoka Mji wa watalii ( MALINDI ) limerudi tena katka anga zako ili kukuburudisha. Kundi hili ambalo linaongozwa na vichwa viwili na sio kumi kama wanavyojiita ambapo ni DAUBLE D akiwa na SHARK B ,wamekuletea mziki wao mpya unaokwenda kwajina PARTY ambapo track hio imeweza kuketiwa chini na SHERIFF ndani ya studio za GOOD TIME RECORDS ya kule Malindi. Pata kuipakua nyimbo hio hapa. TEN DOWN-PARTY

EXCLUSIVE VIDEO||| SUDI BIN SUDI-MAULANA||| PATA KUITAZAMA HAPA

Best vocalist ambaye hapo mwanzo alikua akijulikana kama SUDI BOY ambaye kwa sasa amegeuza jina n akujiita SUDI BIN SUDI amekuja tena na mtindo tofauti. Kama tunavyimjua SUDI ni msanii sana sana wa mapaaenazai ila hivi karibuni msanii huyu amekua akigeuz mtindo wake wa na kuingilia mtindao tofauti, mwaka jana aliweza kutufungia mwaka na nyimbo iliosemekana kwa alimuimbia marehemu sana ambaye alikua ni mke wake nyimbo ilikua inakwenda kwajina KIDONDA mwaka huu msanii huyo ameweza kutufungulia mwaka na nyimbo yake mpya inayokwenda kwajina MAULANA. Maulana ni nyimbo iliojawa na hisia nyingini sana,nyimbo hii inazungumzia maisha ya kawaida na pia inakutia imani kwamba MAULANA ndio kila kitu maanaa yeye mueza wa yote . Pata kuitizama video hio hapa.

EXCLUSIVELY NEW||| MABIBI NA MABWANA BROWN MAUZO AACHIA KICHUPA CHENGINE KINAKWENDA KWAJINA "APOTEE"||| Tizama hapa

Baada ya kuachia Collabo yake aliyomshirikisha KinkKiba msanii kutoka humu nchini BROWN MAUZO amefungua mwaka na kichupa chengine kinachokwenda kwajina " APOTEE " Mapema hapo jana aliweza kuachia single yake nyengine ambapo round hii hakuvuka boda kumtafuta director wa video ama msanii wa kumshirikisha ila amevuka boda na kumchukua producer nguli wa COMBINATION SOUND anayekwenda kwajina MAN WATER na video director ni wa kutoka humu nchini anayekwenda kwajina la EX -ANTONIO na inasemekana kwamba video hio kuna sehemu wame shoot BANGKOK. Pata kuitizama hapa.