EXCLUSIVELY NEW||| MABIBI NA MABWANA BROWN MAUZO AACHIA KICHUPA CHENGINE KINAKWENDA KWAJINA "APOTEE"||| Tizama hapa
Baada ya kuachia Collabo yake aliyomshirikisha KinkKiba msanii kutoka humu nchini BROWN MAUZO amefungua mwaka na kichupa chengine kinachokwenda kwajina "APOTEE"
Mapema hapo jana aliweza kuachia single yake nyengine ambapo round hii hakuvuka boda kumtafuta director wa video ama msanii wa kumshirikisha ila amevuka boda na kumchukua producer nguli wa COMBINATION SOUND anayekwenda kwajina MAN WATER na video director ni wa kutoka humu nchini anayekwenda kwajina la EX -ANTONIO na inasemekana kwamba video hio kuna sehemu wame shoot BANGKOK.
Pata kuitizama hapa.
Comments
Post a Comment