Skip to main content

Posts

Showing posts from September 21, 2016

HAYA NDIO ALIYOYASEMA MKONGWE WA MUZIKI WA AFRIKA MASHARIKI SAIDA KAROLI BAADA YA DIAMOND NA RAYVANY KUIPIGA TENA SALOME...Soma hapa zaidi

Msanii wa nyimbo za asili Saida Karoli aliyevuma kitambo, amefunguka na kusema kuwa kitendo cha msanii Diamond Platnum kurudia moja ya kazi yake anajihisi kuzaliwa upya. Saida Karoli ambaye aliwahi kufanya vizuri na nyimbo kama 'Mapenzi kizunguzungu', Kaisiki, Maria Salome na nyingine kibao na alifanikiwa kuliteka soko la Afrika Mashariki kwa nyimbo hizo na kujipatia umaarufu mkubwa mwanzoni mwa miaka ya 2000. Saida Karoli amesikika kwenye moja ya clip ambayo ameiposti Diamond Platnumz kwenye mitandao yake ya kijamii na kusema kuwa mwanzoni waandishi wa habari walisha msahau walikuwa hawamtafuti tena, lakini hata baadhi ya watu pamoja na ndugu zake walikuwa wakiambiwa kuwa amekufa lakini baada ya kazi ya Diamond Platnumz kutoka imerejesha watu kwenye himaya yake kwani wameanza kumtafuta na kumpigia simu sana. " Mimi nimejisikia vizuri maana hii kazi tunayofanya ni kwa ajili ya mashabiki, mashabiki ndiyo wadau wetu wanaotufanya sisi tuwe juu kwa hiyo si ka