Skip to main content

Posts

Showing posts from December 7, 2018

EXCLUSIVE: "PANGA SHOW YAKO ALAFU USINIWEKE" SUSUMILA AMPIGA DONGO NANI?? Soma hapa...

Licha yakua huu mwaka msanii SUSUMILA hajaonekana katika matamasha mengi yeye ndio ameteuliwa katika tamasha kuu la WASAFI FESTIVAL. Mapema leo hii Yusuf Kombo almaarufu kama Susumila aliweza kuandika ukurasa tusijue alimpiga nani dongo hilo maana kulingana na ukurasa huo ulivyoandikwa ujumbe huo unamuendea mtu fla i kama sio Presenter basi atakua msanii mwenzake ama Muandaaji mmoja wa matamasha kutoka Mombasa. Susumila aliweza kuandika hivi " Jamani show sijaipanga mimi wenye kupanga kimtazamo wao wameona nawafaa kwenye hio show so kama waona sifai panga show yako alafu usiniweke muweke unaempenda ama unaemuona anakufaa mbona tunasahau huwezi pendwa na kila mtu na huwezi chukiwa na kila mtu  😂 😂 🤣 kwa sasa nivumilieni kidogo mpaka 26th ikiisha maisha yataendelea ama mnasemaje wangwana  #Mchezousiuchezee"  Aliandika hayo uku akiambatanisha na posta ya show hio Ya WASAFI FESTIVAL ilioandaliwa na kituo cha NRG.