Skip to main content

Posts

Showing posts from July 10, 2015

BAADA YA ALLY KIBA SASA NI DULLY SYKES AAMUA KU UNFOLLOW WATU WOTE KATIKA MTANDAO WAKE WA INSTAGRAM...soma hapa kwanini

Baada ya staa wa Bongo Ally Kiba kuamua ku-unfollow watu wote katika mtandao wake wa INSTAGRAM sasa ni zamu ya PRINCE DULLY SYKES. Msanii huyu wakitambo Dully Sykes mapema hii leo alichukua uamuzi waku unfollow kila mtu katika ukurasa wake wa INSTAGRAM na wala hakubakisha hata manager wake wala mtu yeyote wa karibu naye... Hii ndio screenshot tuliyoweza kuipata hii leo baada ya kuwa unfollow watu wote..

TOTTI KUWA TISHIO KWA WASANII KUTOKA NCHI JIRANI.....Soma habari nzima hapa...

Wengi wanamfahamu kwa kazi yake ya kutengeneza ngoma (producer) kutoka studio za KAY-G RECORDS ,baada ya kuweka wazi kwamba kazi yake hio yakutengeneza mziki itakaa kando kwa mda TOTTI amekuwa tishio kwa wasanii wengi kutoka nchi jirani ya TANZANIA. Hii ni baada ya kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina WANGU nyimbo inayoendelea kufanya vizuri katika vituo vyote hapa nchini ambapo video yake imeweza kutoka wiki mbili zilizopita akiwa ameweza kuifanya video hio na director kutoka hapa nchini kwa jina la SYNC ameweza kutengeza video kama vile ya OMMY DIMPOZ na mrembo AVRIL na pia siku kadhaa ameweza pia kuketia kazi inayojulikana kama NINAWEZA. Baada ya Totti kuachia video yake hio ya WANGU tuliweza kuona video hio ya sekunde kumi na tano katika ukurasa wa Instagram unaofahamika kwa jina DIAMONDPLATNUMZDAILY unaosifika kwa kutoa taarifa za staa wa bongo DIAMOND PLATNUMZ , chakushangza video hio iliweza kukaa hapa kwa masaa mawili na ikatolewa swala ambalo