Skip to main content

Posts

Showing posts from July 27, 2016

NEW AUDIO ALERT| C-NEW FEAT CHIKUZEE-UMENUNA BURE| DOWNLOAD HAPA

Hii ni nyimbo mpya iliotoka ivi majuzi ambapo ni ya waanii wawili wakali wa vocals  walioshirikiana ambaye ni C-NEW akiwa amemshirikisha hit maker wa KUNGURU anayekwenda kwajina CHIKUZEE ,nyimbo hio wameipa jina la UMENUNA BURE . Je ni nani huyu alienuna bure ambae CHIKUZEE na C-NEW ambaye wamemuimba? Download hapa..

EXCLUSIVE STORY| NYOTA NDOGO ADAI KWAMBA YEYE HAPELEKWI NA MITINDO INAYOCHIPUKA...Soma hapa zaidi.

Kama tunavyojua NYOTA NDOGO ni mmoja ya wasanii wakike wakongwe kutoka Afrika Mashariki na anayefanya vizuri zaidi kimziki. Mapema wiki jana msanii huyu wakike katika safari yake ya kufanya promo kwa wimbo wake mpya unayojulikana kama SUBIRA YANGU ambao umeweza kupokelewa vizuri zaidi katika radio zote humu nchini pamoja na Afrika Mashariki aliweza kutembelea radio na runinga nchi nzima kuutendea haki wimbo ule. Nyota aliweza kufunguka mengi kuhusu mziki wake anaoufanya ambao anasema ndio unaomletea ugali kwenye meza,Nyota alidai kwamba yeye sio msanii wakupelekwa na upepo wa watu ama wasanii yeye ni msanii anayejiamini na kuheshimu mashabiki wake na nyimbo zake licha yakwamba zinasikizwa na kila mtu lakini anapenda kufikisha ujumbe kwa jamii "Kiukweli mimi sipendi kuwaangusha mashabiki zangu ambao ndio wanaoniletea unga mezani,sijawahi ata kuguswa na hii mitindo mipya inayochipuka ya west Africa mimi nitabaki kuwa nyota na mtindo wangu utabaki huu huu maana mimi sishind

EXCLUSIVE AUDIO| BASATA YAMFUNGIA NAY WA MITEGO KUTOFANYA MZIKI KWA MUDA USIOJULIKANA KUTOKANA NA WIMBO WAKE WA "PALE KATI PATAMU"

Kama utakuwa unakumbuka mnamo July 16, 2016 Baraza la sanaa Tanzania ( BASATA ) lilitoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego PALE KATI kutokuwa wa kimadili. Sasa leo July 27, 2016 millardayo.com imepata taarifa nyingine iliyotolewa na BASATA kuhusu kumfungia msanii huyo kwa muda usiojulikana kutokana na makosa matatu. ‘Ni kweli kwamba tumetoa tamko hilo tulifuata sheria na kanuni labda nizungumzie kile ambacho kilichotufanya tuchukue maamuzi hayo, moja nadhani mnakumbuka ilikuwa tarehe 16 mwezi wa saba Baraza la Sanaa ilitoa taarifa kwa umma kuhusu kuufungia wimbo wa Msanii huyo Pale Kati kutokana na maudhui ya mule ndani’- Godfrey Mngereza ‘Kwahiyo hivi karibuni tulikaa tena kikao na akakiri kwamba kweli wimbo wake haupo kimaadili pia tukaona ngoja tumfungie kwa muda usiojulikana kutokana na tamko la wizara kuhusu maadili ya wimbo huo, alitoa wimbo wa Pale Kati na kuusambaza bila Baraza la Sanaa kuwa na taarifa yoyote kwahiyo ndio maana tuk