Skip to main content

Posts

Showing posts from November 15, 2017

EXCLUSIVE EVENT!! KARIBUNYUMBANI||| SIKU YA JUMA MOSI TAREHE 18 UNAKARIBISHWA REEF HOTEL UPATE CHAKULA CHA UBONGO

Ni muimbaji wakike aliye na uwezo mkubwa w kuimba na mbali na hilo anauwezo pia wakutoa mazoezi ya sauti hadi kujua muziki ni nini na kujua kuimba . Anakwenda kwajina CRYSTAL ASIGE kutoka humu nchini, kumbuka pia msanii huyu wakike ni mlemavu wa macho ambapo macho yake hayaoni asilimia sabini ( 70% ) yaani anaona asilimia thalathini ( 30% ) tu ila kama wanavyosema Mungu hakupi kilema na akakunyima na mwendo,Asige ametembea nchi mbalimbali kwa matibabu na amekutana na madaktari wakubwa na pia ni kipenzi cha watu maana anapenda kujichanganya na jamii na kuwapa watu chakula cha ubongo. Jumamosi hii CRYSTAL amekuandalia tamasha kabambe ambapo sio tamasha tu ila pia atakua anapeana chakula cha ubongo yaani usia kwa vijana waleo, Tamasha hilo litakua pale NYALI REEF HOTEL atakua anatumbuiza na gita"Acoustic" pamoja na wanamuziki wenzake. Tiketi za tamasha hilo zinapatika katika mgahawa wa REEF NYALI    Pata mfuata katika mitandao yake yakijamii kama CRYSTAL ASIGE