Skip to main content

EXCLUSIVE EVENT!! KARIBUNYUMBANI||| SIKU YA JUMA MOSI TAREHE 18 UNAKARIBISHWA REEF HOTEL UPATE CHAKULA CHA UBONGO

Ni muimbaji wakike aliye na uwezo mkubwa w kuimba na mbali na hilo anauwezo pia wakutoa mazoezi ya sauti hadi kujua muziki ni nini na kujua kuimba .

Anakwenda kwajina CRYSTAL ASIGE kutoka humu nchini, kumbuka pia msanii huyu wakike ni mlemavu wa macho ambapo macho yake hayaoni asilimia sabini (70%) yaani anaona asilimia thalathini (30%) tu ila kama wanavyosema Mungu hakupi kilema na akakunyima na mwendo,Asige ametembea nchi mbalimbali kwa matibabu na amekutana na madaktari wakubwa na pia ni kipenzi cha watu maana anapenda kujichanganya na jamii na kuwapa watu chakula cha ubongo.

Jumamosi hii CRYSTAL amekuandalia tamasha kabambe ambapo sio tamasha tu ila pia atakua anapeana chakula cha ubongo yaani usia kwa vijana waleo, Tamasha hilo litakua pale NYALI REEF HOTEL atakua anatumbuiza na gita"Acoustic" pamoja na wanamuziki wenzake.

Tiketi za tamasha hilo zinapatika katika mgahawa wa REEF NYALI 
 Pata mfuata katika mitandao yake yakijamii kama CRYSTAL ASIGE na  jiunge nae katika YouTube channel yake kwa kutafuta CRYSTAL ASIGE.
Bonyeza Links Hapa chini kuzitizama kazi zake.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..