Skip to main content

Posts

Showing posts from May 19, 2015

EXCLUSIVE AUDIO| SUDIBOY FEAT JAGUAR-BARUA KWA RAIS.| LISTEN and DOWNLOAD here..

                                                        DOWNLOAD HAPA.

HAYA NDIO MAJINA YA WANAOWANIA TUZO ZA BET NCHINI MAREKANI...

Tuzo za BET mwaka huu zinatarajiwa kufanyika jumapili ya tarehe 28 mwezi wa sita, sasa jana wametoa majina ya wanaowania kwenye tuzo hizo kubwa za muziki duniani. Mwaka jana Tanzania iliwakilishwa na Nasseb “Diamond” Abdul, katika kipengele kinacho washindanisha wanamuziki wa kiafrika cha “Best International Act”. This time Diamond hakutajwa kwenye kipengele hicho, walioingia mwaka huu ni Sauti soul kutoka Kenya, rapper AKA kutoka Afrika Kusini, rapper Sarkodie kutoka Ghana, Yemi alade wa Nigeria pamoja na Star boy “Wizkid” kutoka Nigeria pia, Fallyipupa kutoka Congo Tazama list nzima ya vipengele pamoja na majina yao hapo chini. Best Female R&B/Pop Artist Beyoncé Ciara Janelle Monáe Jhené Aiko K. Michelle Rihanna Best Male R&B/Pop Artist August Alsina Chris Brown John Legend The Weeknd Trey Songz Usher Best Group A$AP Mob Jodeci Migos Rae Sremmurd Rich Gang Young Money Best Collaboration August Alsina feat. Nicki Minaj – “No Love (Remix)” Big Sean feat. E

EXCLUSIVE TGM STORY| KAMA HUKUWEZA KUPATA KUSKIZA INTERVIEW YA MSANII ZIKY PATA KUISKIZA HAPA...

Mziki ni safari ya milima na mabonde tambarare na pakavu ikiwa umeona msanii amefika juu na kuwa  staa kama DIAMOND PLATNUMZ,JOSE CHAMELEON,WYRE na wengine wengi basi jua wameyapitia na walioyapitia ni vile hujapata kuskiza ama kujua stori zao walipotokea hadi hapa walipofika kuna wengine wametaka hata kuachana na mambo ya mziki kwasababu ya walioyapitia laki9ni jamii ndio hufwapa motisha na kuendelea. Leo hii tumepatana na msanii ANTHONY JACKSON kwa jina la usanii ni ZIKY WA ZIKY kutoka mkoani pwani msanii huyu ni moja wa wasanii wanao kuja vizuri na wenye sauti nzuri pamoja na idea zenye kufunza. Ni msanii mwenye umri wa miaka 23 ambaye anamilikiwa na studio za JUNGLE MASTERS chini ya produza EMMY DEE pamoja na uongozi wa JOS K MADALA ,ni moja wa kijana anayepata maisha magumu kimziki na kimaisha anaishi maeneo Pwani Kusini ( SOUTH COAST ) na ni msanii ambaye elimu yake iliishia katika darasa la nane (CLASS 8 ) na hana mzazi ata mmoja ana umiliki wa mdogo wa

SAUTI SOL NOMINATED IN BET AWARDS 2015 -BEST INTERNATIONAL ACT-AFRICA (KENYA)....Read more..

Multi-award winning Kenyan afro pop music group has been nominated for the “BET AWARDS” 2015 as Best International Act: Africa (Kenya). The news has come as the group starts a two-week USA Tour. Dubbed #SautiSolRoad2BET they will hold major performances in the cities of Washington DC, Minneapolis, Dallas TX, Atlanta GA and Seattle WA  starting 21st May, 2015. The “BET AWARDS” broadcasts live from the Nokia Theatre on Sunday, June 28 from 5:00-8:00 pm/PST. Sauti Sol will be part of the celebrated award ceremony that will have must-see moments, outstanding talent, and exquisite music: from Michael Jackson with James Brown to Destiny’s Child and Terrence Howard to the reuniting of The Fugees.                                                Speaking right before their departure to USA #SautiSolRoad2BET Tour, Sauti Sol members unanimously expressed their joy and excitement. “We thank everyone for the congratulatory messages. We are so honoured to represent Africa in this year’s BET AWA