Skip to main content

EXCLUSIVE TGM STORY| KAMA HUKUWEZA KUPATA KUSKIZA INTERVIEW YA MSANII ZIKY PATA KUISKIZA HAPA...



Mziki ni safari ya milima na mabonde tambarare na pakavu ikiwa umeona msanii amefika juu na kuwa  staa kama DIAMOND PLATNUMZ,JOSE CHAMELEON,WYRE na wengine wengi basi jua wameyapitia na walioyapitia ni vile hujapata kuskiza ama kujua stori zao walipotokea hadi hapa walipofika kuna wengine wametaka hata kuachana na mambo ya mziki kwasababu ya walioyapitia laki9ni jamii ndio hufwapa motisha na kuendelea.

Leo hii tumepatana na msanii ANTHONY JACKSON kwa jina la usanii ni ZIKY WA ZIKY kutoka mkoani pwani msanii huyu ni moja wa wasanii wanao kuja vizuri na wenye sauti nzuri pamoja na idea zenye kufunza.



Ni msanii mwenye umri wa miaka 23 ambaye anamilikiwa na studio za JUNGLE MASTERS chini ya produza EMMY DEE pamoja na uongozi wa JOS K MADALA,ni moja wa kijana anayepata maisha magumu kimziki na kimaisha anaishi maeneo Pwani Kusini (SOUTH COAST) na ni msanii ambaye elimu yake iliishia katika darasa la nane (CLASS 8) na hana mzazi ata mmoja ana umiliki wa mdogo wake alioachiwa na wazazi wake ambapo huyo mdogo wake ndio anamtegemea msanii huyo kwa kila hali na sasa wameweza kuungana na kufungua biashara lakini msanii ZIKY bado anahangaikia kazi za mijengo

kupitia mahojiano yake ya moja kwa moja na PILIPILIFM katika kipindi cha MWAKE MWAKE kinachoongozwa na DOUBLE C(CHRISS na CHIGULU) msanii Ziky aliweza kusema kuwa alishawahi kufukuzwa na aunty yao katika nyumba walio kuwa wanaishi kwasababu hawakuwa na kazi ya kufanya na mara yakwanza aliposkia mziki wake katika kituo cha radio aliweza kutoa machozi ya furaha na hakuweza kula.

Skiliza live interview hio hapa chini....

Thegreatmulley.blogspot.com tutafanya tuwezavyo ili kumsaidia msanii huyu aweze kutimiza malengo yake ya kimziki tumuombee Mungu.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..